Tuwanyika : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
Masahihisho
 
Mstari 12:
| nusuoda = [[Serpentes]] <small>(Nyoka)</small>
| oda_ya_chini = [[Alethinophidia]] <small>(Nyoka wasio vipofu)</small>
| familia = [[ColubridaeLamprophiidae]] <small>(Nyoka walio na mnasaba na [[ukukwichata]])</small>
| bingwa_wa_familia = [[Nicolaus Michael Oppel|Oppel]], 1811
| nusufamilia = [[Psammophiinae]] <small>(Nyoka wanaofanana na [[nyoka-mchanga]])</small>
| jenasi = ''[[Rhamphiophis]]''
| bingwa_wa_jenasi = [[Wilhelm Peters|Peters]], 1854
Mstari 22:
* ''[[Rhamphiophis rubropunctatus|R. rubropunctatus]]'' <small>([[Johann Gustav Fischer|Fischer]], 1884)</small>
}}
'''Tuwanyika''', '''domotai''' au '''nondo''' ni [[spishi]] za [[nyoka]] wa [[jenasi]] ''[[Rhamphiophis]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] [[ColubridaeLamprophiidae]]. Nyoka hawa ni warefu kiasi: kwa kipeo m 1.5-2.5 kulingana na spishi. Rangi yao ni [[kijivu]], [[kahawia]], [[pinki]], [[machungwa (rangi)|machungwa]] au [[nyeupe]]. [[Kichwa]] ni kifupi, [[pua]] ndefu na [[jicho|macho]] makubwa.
 
Tuwanyika huingia mashimo ndani ya [[ardhi]] mara nyingi ili kupumzika au kutafuta mawindo yao: [[mgugunaji|wagugunaji]], [[mjusi|mijusi]], [[chura|vyura]] na hata nyoka wengine. Wanaweza kuwinda katika [[kichaka|vichaka]] pia.