Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 2 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q4005900 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
'''Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA)''' kipo katika manisipaa ya [[Morogoro]] nchini [[Tanzania]]. Hiki ni chuo kikuu pekee cha kilimo nchini. LilipewaKilipewa jina kwa heshima ya mwanasiasa marehemu [[Edward Sokoine]].
 
Chuo hiki kilianzishwa mwaka [[1984]] na kabla ya hapo kilikuwa ni chuo kikuu kishiriki cha [[Chuo Kikuu cha Dar es Salaam]] tangu mwaka [[1970]].