Yanga S.c. : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 56:
}}
 
'''Yanga Sc''' (jina kamili ni '''Young Africans Sports Club''') ni [[timu]] ya [[soka]] ya [[Mji|mjini]] [[Dar es Salaam]] iliyoanzishwa mnamo mwaka [[1935]] inayoshiriki [[Ligi kuu]] ya [[Tanzania]] na ni mabingwa mara 26 nchini humo. Tena[[Young African Sports Club]] ni mabingwa mara 5 kombe la mabingwa Afrika Mashariki Kagame.
 
Katika ngao ya jamii Yanga imeifunga Azam FC kwa jumla ya magoli 8 kwa 7, hii ni mara ya tatu kwa Azam FC kukutana na Yanga katika Ngao ya Jamii na Yanga kumfunga Azam kwenye mechi zote tatu.