Saruji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 8:
Saruji imekuwa muhimu sana katika shughuli za [[ujenzi]]. Awali ilitumiwa kwa kushika mawe au matofali ya ukuta vikae pamoja.
 
Baadaye ikagunduliwa ya kwamba saruji ikichanganywa na [[mchanga]] ma mawe madogo (kama [[kokoto]]) kuwa [[zege]] inaweza kumwagwa kati ya bao mbili na kuwa imara ndani yao. Kwa njia hiyo imewezekana kujenga haraka sana kwa kumwaga mchanganyiko wa zege ya saruji katika nafasi zilizoandaliwa awali. Hapa vyuma vinaingizwa ndani ya ukuta au sakafu ya saruji kwa kusudi la kuongeza uimara.
 
{{commonscat|Cement}}