Lambo la Kidatu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Lambo la Kidatu''' ni [[lambo]] la TANESCO lililojengwa [[miaka ya 1970]] kwenye [[mto]] [[Ruaha Mkuu]] katika [[mkoa wa Morogoro]] ([[Tanzania]]) ili [[maji]] yake yaweze kutumika kuzalisha [[umeme]].
 
Ndilo lambo ambalo ni [[asili]] ya sehemu kubwa ya umeme wa [[taifa]] (204 [[MW]]).
 
[[Kituo cha umeme]] cha [[Kidatu]] kilijengwa hadi [[mwaka]] [[1975]] kama sehemu ya mradi unaoitwa "Mradi wa umeme wa Ruaha Kuu" ulioendelea baadaye kwa ujenzi wa [[Lambo la Mtera]] [[kilomita]] 170 juu ya Kidatu<ref>[https://www.researchgate.net/publication/232984730_Impact_Assessment_of_Mtera_and_Kidatu_Reservoirs_on_the_Annual_Maximum_Floods_at_Stiegler%27s_Gorge_of_the_Rufiji_River_in_Tanzania Yawson, Kongo, Kachroo: Impact Assessment of Mtera and Kidatu Reservoirs on the Annual Maximum Floods at Stiegler’s Gorge of the Rufiji River in Tanzania], Water International, Volume 31, Number 1, Pages 100–108, March 2006, iliangaliwa Mei 2018</ref>.
 
Lambo la Kidatu lina [[urefu]] wa [[mita]] 350 na [[kimo]] cha mita 40. IlijengwaLilijengwa kwa kutumia [[m³]] 40,000 za [[zege]] pamoja na [[m³]] 800,000 za [[udongo]] na [[mawe]]. Inaweza kushika hadi milioni [[milioni]] 125 za maji kwa kusudi la kuzipitisha kwa njia ya [[bomba|mabomba]] yenye urefu wa jumla ya kilomita 10 kwenda [[rafadha]] zinazosukuma [[jenereta]] 4 zenye uwezo wa kuzalisha [[megawati]] 200<ref>[http://www.tanesco.co.tz/index.php/kidatu Kidatu Hydro Power Plant ], tovuti ya TANESCO, iliangaliwa Mei 2018</ref>.
 
==Tanbihi==
Mstari 16:
[[Category:Mkoa wa Morogoro]]
[[Jamii:Lambo]]
[[Jamii:Umeme]]