Harakati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '==Harakati== Mara nyingi neno '''harakati''' hutumika kwa maana ya mchakato ambao mtu au kikundi cha watu ambao wamejitoa kwa ajili ya kufuatilia jambo fula...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:12, 5 Mei 2018

Harakati

Mara nyingi neno harakati hutumika kwa maana ya mchakato ambao mtu au kikundi cha watu ambao wamejitoa kwa ajili ya kufuatilia jambo fulani hususani katika jamii ya watu. Katika harakati watu wahusika wanao jishughulisha na harakati huwa wanajulikana kama Wanaharakati kwa wingi wao, kama ni mmoja huitwa mwanaharakati katika jamii ya watu mara nyingi wanaharakati hutumia muda wao mwingi katika kufuatilia mambo ambayo huwafanya au humfanya yeye kuwa mwanaharakati au wanaharakati katika jamii hiyo. Kumekuwa na makundi mengi ya wanaharakati katika jamii yetu kwa mfano kumekuwepo na wanaharakati mbali mbali kama vile wanaharakati wa masuala ya kiuchumi, kisiasa, kijamii na kadhalika.