Harakati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
Katika harakati wahusika wanaojishughulisha nazo huwa wanajulikana kama [[Wanaharakati]] kwa wingi wao, kama ni mmoja huitwa [[mwanaharakati]].
 
Mara nyingi katika jamii ya watu wanaharakati hutumia [[muda]] wao mwingi katika kufuatilia mambo hayo. Kumekuwa na makundi mengi ya wanaharakati katika [[jamii]] yetu, kwa mfano kumekuwepo wanaharakati mbalimbali kama vile wanaharakati wa masuala ya [[uchumi]], [[siasa]], [[jamii]] na kadhalika.
 
{{mbegu-siasa}}