Wati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
'''Wati''' (pia:'''watt''') ni [[kizio]] cha kupimakupimia [[nguvu]]. [[Kifupi]] chake ni '''W'''. [[Fomula]] yake ni '''[[kilogramu|kg]]·[[mita|m]]<sup>2</sup>·[[sekunde|s]]<sup>−3</sup>'''.
 
<math>\mathrm{1\, W = 1\, \frac{kg\, m^2} {s^3}}\mathrm{{} = 1 \, \frac{J}{s}} = 1\, \mathrm{VA}</math>
 
Inaelezwa kuwa ni nguvu inayotokea kama [[juli]] [[moja]] ya [[nishati]] inatumiwa kwa muda wa [[sekunde]] moja. Hivyo inawezekana kuiandika pia kama '''J/s'''.
 
Wati ni kizio cha [[vipimo sanifu vya kimataifa]]. Imepewa jina lake kwa heshima ya mwanafizikia na mhandisi [[James Watt]] (1736 - 1819).
 
Wati moja ni sawa na [[volti]]-[[ampea]] moja (1 V·A). Uwezo wa majenereta huonyeshwa kwa kutaja kiasi cha wati yanayoweza kuzalisha. Kwa majenereta makubwa kama vile vituo vya umeme vya diseli, umememaji au nyuklia kiasi hutajwa kwa megawati.
 
Wati ni kizio cha [[vipimo sanifu vya kimataifa]]. Imepewa [[jina]] lake kwa [[heshima]] ya [[mwanafizikia]] na [[mhandisi]] [[James Watt]] ([[1736]] - [[1819]]).
 
Wati moja ni sawa na [[volti]]-[[ampea]] moja (1 V·A). Uwezo wa [[jenereta|majenereta]] huonyeshwa kwa kutaja kiasi cha wati yanayowezayanachoweza kuzalisha. Kwa majenereta makubwa, kama vile vituo vya [[umeme]] vya [[diseli]], [[umememaji]] au [[nyuklia]] kiasi hutajwa kwa [[megawati]].
 
{| class="wikitable"
Line 25 ⟶ 23:
| '''1&nbsp;mW ([[mikrowati]])'''|| '''µW''' || align="right" | '''0.0000001 W''' || '''10<sup>−6</sup> W'''
|-----
| '''1&nbsp;mW (milliwatimiliwati)'''|| '''mW''' || align="right" | '''0.001 W''' || '''10<sup>−3</sup> W'''
|-----
| 1&nbsp;mW (sentiwati)||cw || align="right" | 0.01 W || 10<sup>−3</sup> W
Line 50 ⟶ 48:
|}
 
Vizio vidogo sana kama pW vinatumiwavinatumika katika makadirio ya [[redio]] na [[radar]],; vifaa vya kiganga kama EEG na ECG mara nyingi hupimwa kwa µW.
 
daW na hW hali halisi havitumiwi; kama [[balbu]] ina 60 W hatusemi "6 daW" wala "15 hW" kwa balbu ya 150 W.
Vizio vidogo sana kama pW vinatumiwa katika makadirio ya [[redio]] na [[radar]], vifaa vya kiganga kama EEG na ECG mara nyingi hupimwa kwa µW.
 
Kilowati (kW) ni kizio kwa vifaa vingi vya kila [[siku]], kwa mfano kwa matumizi ya [[jiko la umeme]] au pia nguvu ya [[injini]]. Injini laya [[gari]] la kawaida huwa na 30 kW hadi 80 kW.
daW na hW hali halisi havitumiwi; kama balbu ina 60 W hatusemi "6 daW" wala "15 hW" kwa balbu ya 150 W.
 
Megawati (MW) ni kizio cha kupima injini kubwa sana kama injini za [[meli]] na [[manowari]] kubwa lakini menginevyovinginevyo hutumiwahutumika kwa kutaja nguvu ya [[jenereta|majenereta]] ya [[kituo cha umeme]].
Kilowati (kW) ni kizio kwa vifaa vingi vya kila siku, kwa mfano kwa matumizi ya jiko la umeme au pia nguvu ya injini. Injini la gari la kawaida huwa na 30 kW hadi 80 kW.
 
Vizio vikubwa zaidi vinaweza kutokea katika matumizi ya vifaa vichache kama [[laser]] kubwa ya majaribio au kutaja jumla ya [[uzalishaji]] yawa nguvu wa [[lambo]] la [[majiumeme]] ; kwa mfano [[lambo la magenge matatu]] huwa na nafasi ya uzalishaji wa 22 GW.
Megawati (MW) ni kizio cha kupima injini kubwa sana kama injini za [[meli]] na [[manowari]] kubwa lakini menginevyo hutumiwa kwa kutaja nguvu ya majenereta ya kituo cha umeme.
 
Vizio vikubwa zaidi vinaweza kutokea katika matumizi ya vifaa vichache kama laser kubwa ya majaribio au kutaja jumla ya uzalishaji ya nguvu wa [[lambo]] la [[majiumeme]] ; kwa mfano [[lambo la magenge matatu]] huwa na nafasi ya uzalishaji wa 22 GW.
 
Terawati ni nguvu ya [[radi]] ya kawaida.
 
Petawati inaweza kutumiwa kutaja [[nishati]] ya [[jua]]: nishati yote inayofika kwa njia ya [[nuru]] yake [[duniani]] ni takriban 174 PW.
 
 
{{mbegu-sayansi}}
 
[[Jamii:Vipimo sanifu vya kimataifa]]