Utakatifu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '==Utakatifu== Utakatifu unatokana na neno la Kiebrania '''Qadash''' likimaanisha kujitenga au kutengwa. pia Kigiriki kuna '''Hagios''' likimaanisha kutokuwa na...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 08:44, 7 Mei 2018

Utakatifu

Utakatifu unatokana na neno la Kiebrania Qadash likimaanisha kujitenga au kutengwa. pia Kigiriki kuna Hagios likimaanisha kutokuwa na makosa au udhaifu au ((uchafu)). Hivyo utakatifu ni ule usafi kwa kutengwa na ((Mungu)) mwenyewe aliemsafi na asie na ((mawaa))