Majigambo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Majigambo ni masimulizi kujigamba/kujitapa/kujisifu kwa mtu kuhusu matendo ya kishujaa aliyoyatenda katika maisha yake. Majigambo hayo husimuliwa kwa lugha ya k...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Majigambo''' ni [[simulizi|masimulizi]] ya kujigamba/kujitapa/kujisifu kwa [[mtu]] kuhusu matendo ya [[ushujaa|kishujaa]] aliyoyatenda katika [[maisha]] yake. Majigambo hayo husimuliwa kwa [[lugha]] ya [[Shairi|kishairi]] na masimulizi yake huambatana na vitendo vya anayejigamba. Majigambo hujulikana pia kama "Kivugo".
 
Majigambo hufanyika pindi mtu anapokuwa amefanya jambo kubwa la kishujaa kama vile: Kuuakuua Simba[[simba]], kuua maadui[[adui]], kulima [[shamba]] kubwa n.k.

[[Jamii]] nyingi, hufanya [[sanaa]] hii kwa lengo la kujengana [[ari]] katika mambo mbalimbali yanayojitokeza katika maisha yetu ya kila siku.
 
{{mbegu-lugha}}
 
[[Jamii:Lugha]]
[[Jamii:Fasihi]]