Alexander Stephanovich Popov : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'alt=Alexander Stepanovich Popov|thumb|293x293px|Alexander Stepanovich Popov '''Alexander Stephanovich Popov''' (aliyez...' |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Alexander Stepanovich Popov.jpg|alt=Alexander Stepanovich Popov|thumb|293x293px|Alexander Stepanovich Popov]]
'''Alexander Stephanovich Popov''' (
[[Kazi]] ya Popov kama [[mwalimu]] katika [[shule]] ya [[wanajeshi]] wa [[
== Maisha ya awali ==
Alizaliwa
Baada ya kuhitimu
▲Alizaliwa katika [[mji]] wa [[Krasnoturinsk]], [[Oblast Sverdlovsk]] katika Mji kama mwana wa [[kuhani]], alipata [[nia]] ya [[sayansi]] ya [[asili]] wakati alipokuwa [[mtoto]]. Baba yake alitaka Alexander ajiunge na [[ukuhani]] na kumpeleka kwenye Shule ya [[Seminari]] huko [[Yekaterinburg]]. Hapo alijenga [[maslahi]] ya [[sayansi]] na [[hisabati]] na badala ya kwenda Shule ya [[Theolojia]] mwaka [[1877]] alijiunga na [[chuo kikuu]] cha [[St. Petersburg]] ambako alisoma [[fizikia]].
{{mbegu-mwanasayansi}}▼
▲Baada ya kuhitimu na heshima mwaka [[1882]], alikaa kama msaidizi wa [[maabara]] katika chuo kikuu. Hata hivyo [[mshahara]] wa chuo kikuu haukuwa na uwezo wa kuunga mkono [[familia]] yake, na mwaka [[1883]] alipata nafasi kama [[mwalimu]] na [[mkuu wa maabara]] katika Shule ya [[Torpedo]] ya ,mafunzo ya majini ya huko Urusi.
{{BD|1859|1906}}
[[Jamii:Wanafizikia wa Urusi]]
▲{{mbegu-mwanasayansi}}
|