Johann Friedrich Ludwig Hausmann : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Johann Friedrich Ludwig Hausmann''' ([[Hannover]], [[22 Februari]] [[1782]] - [[26 DesembaGöttingen]], [[185926 Desemba]], [[Göttingen1859]]) alikuwa [[Mhandisimhandisi]] wa [[uchimbaji]] wa [[madini]] nchini [[Ujerumani]].
 
== Maisha ==
Johann Friedrich alizaliwa huko [[Hannover]] na kufundishwaalifundishwa huko Göttingen, ambapo alipata [[Ph.D.]] ya [[uhandisi]].
 
Miaka miwili baada ya kutengeneza [[ziara]] ya [[Jiolojia|kijiolojia]] ya [[Denmark]], [[Norway]] na [[Sweden]] mwaka [[1807]], aliwekwa mkuu wa [[taasisi]] ya madini ya [[serikali]] huko [[Westphalia]], na kuanzisha [[shule ya migodi]] huko [[Clausthal]] katika [[milima ya Harz]].
Mstari 11:
 
Pia anajulikana kwa kuingiza jina la <u>pyromorphite</u> (1813) na <u>rhodochrosite</u> (1813).
 
==Viungo vya nje==
{{Commons|Johann Friedrich}}
{{Mbegu-mtumwanasayansi}}
 
{{DEFAULTSORT:Johann Friedrich}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1782]]
[[Jamii:Waliofariki 1859]]
[[Jamii:Wanafizikia wa Ujerumani]]
[[Jamii:Wanasayansi wa Ujerumani]]