Waraka kwa Wafilipi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
==Habari Njema ilivyofika Filipi==
== Mazingira ==
[[Mdo]] 16:11 Basi tukang’oa nanga kutoka Troa, tukafika Samothrake kwa tanga moja, na siku ya pili tukafika Neapoli; 12 na kutoka hapo tukafika Filipi, mji wa Makedonia, mji ulio mkuu katika jimbo lile, mahali walipohamia Warumi; tukawa katika mji huu, tukikaa siku kadha wa kadha. 13 Hata siku ya sabato tukatoka nje ya lango, tukaenda kando ya mto, ambapo tukadhani ya kuwa pana mahali pa kusali; tukaketi, tukasema na wanawake waliokutana pale. 14 Mwanamke mmoja, jina lake Lidia, mwenye kuuza rangi ya zambarau, mwenyeji wa Thiatira, mcha Mungu, akatusikiliza, ambaye moyo wake ulifunguliwa na Bwana, ayatunze maneno yaliyonenwa na Paulo. 15 Hata alipokwisha kubatizwa, yeye na nyumba yake, akatusihi, akisema, Kama mmeniona kuwa mwaminifu kwa Bwana, ingieni nyumbani mwangu mkakae. Akatushurutisha.
Katika [[Matendo ya Mitume]] [[Mwinjili Luka]] hakusimulia mateso yote ya [[Mtume Paulo]], kwa mfano alivyohukumiwa mwaka [[56]] hivi [[Efeso]] (1Kor 15:32; 2Kor 1:8-9).
 
== Mazingira ya barua ==
Akiwa kifungoni huko alifikiwa na mjumbe toka [[Filipi]] aliyemletea msaada wa pesa na wa huduma kwa niaba ya [[Wakristo]] wa mji huo.
Katika [[Matendo ya Mitume]] [[Mwinjili Luka]] hakusimulia [[mateso]] yote ya [[Mtume Paulo]], kwa mfano alivyohukumiwa mwaka [[56]] hivi [[Efeso]] ([[1Kor]] 15:32; [[2Kor]] 1:8-9).
 
Akiwa kifungoni huko alifikiwa na [[mjumbe]] toka [[Filipi]] aliyemletea msaada wa [[pesa]] na wa [[huduma]] kwa niaba ya [[Wakristo]] wa [[mji]] huo wa [[mkoa]] wa [[Makedonia]] (leo [[Ugiriki]] [[Kaskazini]]).
Paulo kabla hajamrudisha alipenda kuwaandikia barua nzuri ya shukrani pamoja na kuwaeleza sababu ya kufungwa (Fil 4:10-20).
 
Paulo kabla hajamrudisha alipenda kuwaandikia [[barua]] nzuri ya [[shukrani]] pamoja na kuwaeleza sababu ya kufungwa (Fil 4:10-20).
Barua ni nzuri pia kutokana na uhusiano wa upendo kati ya Paulo na Wakristo hao, ambao kati yao wanawake walishika nafasi ya pekee toka mwanzo.
 
Barua ni nzuri pia kutokana na uhusiano wa [[upendo]] kati ya Paulo na [[Wakristo]] hao, ambao kati yao [[wanawake]] walishika nafasi ya pekee toka mwanzo (hasa [[Lidia wa Thiatira]]).
 
Tunaona wazi Paulo alivyokuwa na [[furaha]] hata kifungoni, kwa kuwa alizoea kuridhika na kila hali: kwake muhimu ilikuwa tu kumfikia [[Yesu Kristo]].
 
Kama kawaida [[mawaidha]] hayakosekani, lakini si makali: hasa alihimiza [[umoja]] kwa kufuata mfano wa [[Yesu]] aliyejishusha kutoka [[Umungu]] wake hadi kukubali [[kifo]] cha [[Msalaba wa Yesu|msalabani]].
 
Kwa ajili hiyo alitumia maneno ya [[wimbo]] ambao unadhihirisha [[imani]] kamili katika umungu wa [[Kristo]], ingawa ni kati ya zile za kwanzakwanza kutungwa (Fil 1:12-3:1a; 4:4-7).
 
Lakini kuna sehemu kali kuhusu [[wazushi]] ambayo inaanza ghafla (Fil 3:1b-4:1) na kufanya baadhi ya [[wataalamu]] wadhani kuwa barua jinsi ilivyo tangu [[karne I]] ni mshono wa barua [[mbili]] au [[tatu]] za [[mtume]] huyo kwa Wafilipi.
 
==Marejeo==