Pieter Dirkszoon Keyser : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d taipo
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Johann Bayer - Uraniometria - Southern Birds.jpg|450px|thumb|Ramani ya kundinyota zilizobuniwa na Keyser karibu na ncha ya angani ya kusini , kutoka atlasi ya nyota "Uramometria" ya [[Johann Bayer]]]]
'''Pieter Dirkszoon Keyser''' (aliyeitwa pia Petrus Theodorus; [[Emden]], [[Ujerumani]], [[1540]]; [[Java]], [[Indonesia]] ya leo, [[11 Septemba]] [[1596]]) alikuwa [[baharia]] katika [[utumishi]] wa [[Shirika ya Kiholanzi kwa Uhindi ya Mashariki]] (kwa [[Kiingereza]] ''[[:en:Dutch East India Company|Dutch East India Company]]'').
 
Alifundishwa na [[Petrus Plancius]] [[elimu ya nyota]] na [[uchoraji]] wa [[ramani]] ya [[nyota]].
'''Pieter Dirkszoon Keyser''' aliyeitwa pia Petrus Theodorus (* 1540 mjini [[Emden]], Ujerumani; † 11. Septemba 1596 [[Java]], Indonesia ya leo) alikuwa [[baharia]] katika utumishi wa [[Shirika ya Kiholanzi kwa Uhindi ya Mashariki]] (ing. ''[[:en:Dutch East India Company|Dutch East India Company]]''). Alifundishwa na [[Petrus Plancius]] elimu ya nyota na uchoraji wa ramani ya nyota. Mwaka 1595 alikuwa nahodha wa safari ya kwanza ya Waholanzi kuelekea "Uhindi ya Mashariki" yaani visiwa vya Indonesia. Katika safari hii alichora ramani za nyota za [[nusutufe ya kusini]] ambazo kwa jumla hazikujulikana bado huko Ulaya na kubuni kundinyota 12 mpya<ref>[http://articles.adsabs.harvard.edu//full/1917MNRAS..77..414K/0000414.000.html Knobel, E. B. On Frederick de Houtman's catalogue of southern stars, and the origin of the southern constellations], Monthly Notices of the Royal Astronomical Society, Vol. 77, p.414-432, (March 1917). Tovuti ya harvard.edu, iliangaliwa Oktoba 2017</ref>.
 
'''Pieter Dirkszoon Keyser''' aliyeitwa pia Petrus Theodorus (* 1540 mjini [[EmdenMwaka]], Ujerumani; † 11. Septemba 1596 [[Java1595]], Indonesia ya leo) alikuwa [[baharianahodha]] katika utumishi wa [[Shirikasafari]] ya Kiholanzi kwa Uhindikwanza ya Mashariki]] (ing. ''[[:en:Dutch East India Company|Dutch East India CompanyWaholanzi]]''). Alifundishwa na [[Petrus Plancius]] elimu ya nyota na uchoraji wa ramani ya nyota. Mwaka 1595 alikuwa nahodha wa safari ya kwanza ya Waholanzi kuelekea "Uhindi ya Mashariki", yaani [[visiwa]] vya Indonesia. Katika safari hii alichora ramani za nyota za [[nusutufe ya kusini]], ambazo kwa jumla hazikujulikana bado huko [[Ulaya]], na kubuni [[kundinyota]] mpya 12 mpya<ref>[http://articles.adsabs.harvard.edu//full/1917MNRAS..77..414K/0000414.000.html Knobel, E. B. On Frederick de Houtman's catalogue of southern stars, and the origin of the southern constellations], Monthly Notices of the Royal Astronomical Society, Vol. 77, p.414-432, (March 1917). Tovuti ya harvard.edu, iliangaliwa Oktoba 2017</ref>.
Keyser alifariki kwenye safari hii mwaka 1596. Mwakilishi wa shirika Frederick de Houtman alirudi na ramani zake Uholanzi na kuzikabidhi kwa Plancius aliyezitumia katika [[globu ya nyota]] ya mwaka 1598.
 
Keyser alifariki kwenye safari hii mwaka 1596. Mwakilishi wa shirika [[Frederick de Houtman]] alirudi na ramani zake Uholanzi na kuzikabidhi kwa Plancius aliyezitumia katika [[globu ya nyota]] ya mwaka [[1598]].
 
Alitaja kama kundinyota mpya kwa Kiholanzi<ref>[http://www.ianridpath.com/startales/startales1c.htm Scouting the southern sky, Str TAles 1], tovuti Star Tales ya Ian Ridpath, iliangaliwa Oktoba 2017</ref>:
Line 19 ⟶ 22:
* ''Den Zuyder Trianghel'' (Triangulum Australe au [[Pembetatu ya Kusini (kundinyota)|Pembetatu ya Kusini]])
 
Baada ya kuonekana kwenye [[atlasi]] ya Plancius [[Jina|majina]] haya yalichapishwa katika taarifa ya Frederick de Houtman kuhusu safari yake na mwaka [[1603]] katika "Uranometria", atlasi ya nyota iliyotolewa na [[Johann Bayer]] iliyoendelea kuwa msingi kwawa utaratibu wa kutaja nyota unatomiwa hadi leo.
 
Kundinyota zake ziempokelewa na [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] kati ya kundinyota rasmi zinazotumiwa leo hii kimataifa<ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The constellations], tovuti ya [[Ukia]], iliangaliwa Oktoba 2017</ref>.
 
Kundinyota zake ziempokelewazimepokewa na [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] kati ya kundinyota rasmi zinazotumiwazinazotumika leo hii kimataifa<ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The constellations], tovuti ya [[Ukia]], iliangaliwa Oktoba 2017</ref>.
 
==Tanbihi==
<references/>
{{BD|1540|1596}}
 
[[Category:Wanaastronomia wa Ujerumani]]
 
[[Category:Wanaastronomia]]