Fibonacci : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q8763 (translate me)
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Fibonacci2.jpg|thumb|Fibonacci]]
'''Fibonacci''' (mnamo [[1175]] - [[1250]]) alikuwa [[mtaalamu]] wa [[hisabati]] kutoka nchini [[Italia]]. Anakumbukwa kama [[mwanahisabati]] muhimu zaidi wa [[Ulaya]] wakati ya [[zama za kati]].
 
[[Jina]] lake la kiraia ilikuwa '''Leonardo wa Pisa''' lakini aliitwa kwa jina la babake[[baba]] yake Bonacci.
 
== Mfululizo wa Fibonacci ==
 
FibbonacciFibonacci anakumbukwa hasa kwa [[jedwali]] yala [[namba]] inayoitwalinaloitwa [[mfululizo wa Fibonacci]].
 
InaanzaLinaanza hivyohivi: 1, 1, 2, 3, 5, 8, 13, 21, 34, 55, 89, ...
 
Katika mfululizo huu namba inayofuata ni jumla ya namba [[mbili]] zinazotangulia:
 
1 + 1 = 2
Mstari 28:
610 + 987 = 1597
987 + 1597 = 2584
nakadhalikana kadhalika...
{{BD|1170|1250|Fibonacci}}
[[Jamii:Wanahisabati wa Italia]]
 
[[Jamii:Wanasayansi wa Italia]]
[[Jamii:Wanahisabati]]