Plato : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Dhana na vitu: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|de}} (2) using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Head Platon Glyptothek Munich 548.jpg|thumb|right|[[Sanamu]] ya [[kichwa]] cha Plato.]]
'''Plato''' (kwa [[Kigiriki]]: '''Platon'''; [[427 KK]] - [[347 KK]]) alikuwa kati ya [[wanafalsafa]] muhimu zaidi wa [[Ugiriki ya Kale]]. Aliishi kati yaAlikuwa [[427 KKmwanafunzi]] hadi [[347 KK]]. Alikuwa mwanafunzi wa [[Sokrates]] na [[mwalimu]] wa [[Aristoteles]].
 
Alibuni mawazo mengi yenye maana hadi leo. Wanafalsafa wa kisasa wamesema ya kwamba [[falsafa]] yote inamtegemea Plato.
'''Plato''' ([[Kigiriki]]: '''Platon''') alikuwa kati ya wanafalsafa muhimu zaidi wa [[Ugiriki ya Kale]]. Aliishi kati ya [[427 KK]] hadi [[347 KK]]. Alikuwa mwanafunzi wa [[Sokrates]] na mwalimu wa [[Aristoteles]].
 
Aliandika mafundisho yake kwa [[umbo]] la [[majadiliano]] - yaani watu wawili au zaidi wanajadili mawazo wakikubaliana au kutokubaliana nayo. Kwa njia hiihiyo Plato alipenda kueleza fikra zake.
Alibuni mawazo mengi yenye maana hadi leo. Wanafalsafa wa kisasa wamesema ya kwamba falsafa yote inamtegemea Plato.
 
Mara nyingi Sokrates ni msemaji mkuu katika majadalianomajadiliano ya Plato. Huonyeshwa akiwauliza watu juu ya yale wanachoaminiwanayoyaamini akiendelea kuuliza maswali kama mawazamawazo yao yanalingana na [[mantiki]]. Haieleweki ni kiasi gani ya kwamba Plato alitumia kweli mafundisho ya Sokrates mwenyewe au kama alimtumia zaidi kwa njia ya kifasihi akieleza fikra zake Plato kupitia [[mdomo]] wa Sokrates wa majadiliano.
Aliandika mafundisho yake kwa umbo la majadiliano - yaani watu wawili au zaidi wanajadili mawazo wakikubaliana au kutokubaliana. Kwa njia hii Plato alipenda kueleza fikra zake.
 
Kati ya [[maandiko]] muhimu ya Plato ni "Politeia" yaani "kuhusu dola".
Mara nyingi Sokrates ni msemaji mkuu katika majadaliano ya Plato. Huonyeshwa akiwauliza watu juu yale wanachoamini akiendelea kuuliza maswali kama mawaza yao yanalingana na [[mantiki]]. Haieleweki ni kiasi gani ya kwamba Plato alitumia kweli mafundisho ya Sokrates mwenyewe au kama alimtumia zaidi kwa njia ya kifasihi akieleza fikra zake Plato kupitia mdomo wa Sokrates wa majadiliano.
 
Kati ya maandiko muhimu ya Plato ni "Politeia" yaani "kuhusu dola".
 
== Dhana na vitu ==
Katika falsafa ya Plato kuna tofauti muhimu kati ya dhana na kitu. Dunia ya kweli ni dunia ya dhana. Vitu ni
 
{{mbegu-mtu}}
(inaendelea)
 
{{BD|427 KK|347 KK}}
{{DEFAULTSORT:Plato}}
[[Jamii:Wanafalsafa wa Ugiriki ya Kale]]
[[Jamii:WanafalsafaWatu wa Ugiriki]]