Pergamon : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 48 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q18986 (translate me)
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Modell Pergamonmuseum.jpg|thumb|250px|Mfano mdogo wa mji wa Kalekale]]
[[Picha:Berlin - Pergamonmuseum - Altar 01.jpg|thumb|250px|Altari ya Pergamon jinsi ilivyosimamishwa katika makumbusho ya [[Berlin]]]]
'''Pergamon''' ([[jina]] la leo kwa [[Kituruki]] ''Bergama''; kwa [[Kigiriki]]: Πέργαμον; kwa [[Kilatini]]: Pergamum) ilikuwa [[mji]] wa [[Ugiriki ya Kale]] kwenye [[pwani]] laya [[magharibi]] laya [[Asia Ndogo]] katika [[Uturuki]] ya leo. Leo hii uko hapahuko mji wa [[Bergama]] takriban [[kilomita]] 80 kaskazini ya [[Izmir]].
 
Wakati wa [[Karne ya 3 KK|karne ya 3]] na [[Karne ya 2 KK|ya 2]] [[kabla ya Kristo]] Pergamon ilikuwa [[mji mkuu]] wa [[milki]] iliyotawala sehemu kubwa za [[Asia Ndogo]]. Watawala wa [[nasaba ya Attalos]] walipamba mji kwa [[Hekalu|mahekalu]] na [[taasisi]] zilizoufanya [[kitovu]] cha [[utamaduni]] wa Kigiriki.
 
Pergamon ilikuwa na [[maktaba]] kubwa ya pili katika [[dunia]] ya [[Mediteranea]] baada ya [[maktaba ya Aleksandria]],: inasemekana maktaba hii ilikuwa na [[vitabu]] vya [[miswada]] 200,000.
 
Mfano mashuhuri wa utamaduni huu ni [[altari]] kubwa iliyochukuliwa na [[Wajerumani]] kutoka [[maghofu]] ya Pergamon na wajerumani wakati wa [[karne ya 19]] na kupelekwa [[Berlin]] ambako [[makumbusho]] ya pekee ilijengwayalijengwa kwa ajili ya altari hii.
 
Pergamon inatajwa na [[kitabu cha Ufunuo]] katika [[Agano Jipya]] ([[Biblia ya Kikristo]]) kama mahali pa [[Kanisa]] lililoandikiwa [[barua]] kwa njia ya [[Mtume Yohane]] (2:12-17).
 
== Watu wa Pergamon ==
* [[Mfiadini]] [[Antipa wa Pergamo]]
* Tibabu[[Tabibu]] [[Galenos]]
 
== Viungo vya Nje ==
Line 17 ⟶ 20:
[[Jamii:Ugiriki ya Kale]]
[[Jamii:Miji ya Uturuki]]
[[Jamii:Miji ya Biblia]]