Trevor Noah : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 23:
Kuanzia 2010-2011, Noah alikuwa muanzilishi na mtangazaji wa kipindi cha Tonight with Trevor Noah kwenye M-Net na DStv. Uchekeshaji wake umempatia mafanikio kimataifa na kupelekea kutokelezea kwenye vipindi vya mijadala ya usiku vya Amerika na mijadala ya Uingereza.
 
Disemba 2014. Noah alikuja kuwa mchambuzi wa kimataifa kwenye The Daily Show, kipindi cha habari za dhihaka, [[Marekani]]. Mwaka uliofuata, alitangazwa kuwa mrithi wa Jon Stewart, mtangazaji wa siku nyingi sana, na amekuwa mtangazaji mkuu wa The Daily Show tangu Septemba 2015.
Mwaka wa 2016, Novemba, alitoa kitabu chake maarufu [[Born a Crime]] kinachoelezea maisha yake.
 
== Marejeo ==