Shajara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Shajara au diary kwa lugha ya Kingereza ni kitabu maalumu ambacho mwandishi huandika matukio ya kila siku au ya muda fulani. Shajara binafsi huenda ikawa na maw...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 14:34, 10 Mei 2018

Shajara au diary kwa lugha ya Kingereza ni kitabu maalumu ambacho mwandishi huandika matukio ya kila siku au ya muda fulani. Shajara binafsi huenda ikawa na mawazo ya mwandishi, yaliyompata kwa siku na pia malengo yake kwa siku zijazo. Kando na shajara binafsi, pia kuna shajara za mashirika ambazo huonyesha matukio ya shirika hilo.Wahasibu pia huwa na shajara ambayo huandika pesa walizotumia kununua vitu au zile ambazo zimeingia kwa shirika.