Shajara : Tofauti kati ya masahihisho

29 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Shajara au diary kwa lugha ya Kingereza ni kitabu maalumu ambacho mwandishi huandika matukio ya kila siku au ya muda fulani. Shajara binafsi huenda ikawa na maw...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Shajara''' au diary (kwa [[lugha]] ya Kingereza[[Kiingereza]]: diary) ni [[kitabu]] maalumu ambacho [[mwandishi]] huandika matukio ya kila siku au ya muda fulani.

Shajara binafsi huenda ikawa na mawazo ya mwandishi, yaliyompata kwa siku na pia malengo yake kwa siku zijazo.

Kando na shajara binafsi, pia kuna shajara za mashirika ambazo huonyesha matukio ya shirika hilo.

Wahasibu pia huwa na shajara ambayo huandika pesa walizotumia kununua vitu au zile ambazo zimeingia kwa shirika.