Shajara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Shajara''' (kwa [[lugha]] ya [[Kiingereza]]: ''diary'') ni [[kitabu]] maalumu ambachoambamo [[mwandishi]] huandika matukio ya kila siku au ya [[muda]] fulani.
 
Shajara binafsi huenda ikawa na mawazo ya mwandishi, yaliyompata kwa siku na pia malengo yake kwa siku zijazo.
 
Kando naya shajara binafsi, pia kuna shajara za mashirika ambazo huonyesha matukio ya [[shirika]] hilo.
 
[[mhasibu|Wahasibu]] pia huwa na shajara ambayoambamo huandika [[pesa]] walizotumia kununua [[Kitu|vitu]] au zile ambazo zimeingia kwa shirika.
 
{{mbegu}}
 
[[Jamii:Utamaduni]]