Shimo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''shimo''' (wingi mashimo) uwazi mviringo uliochimbwa ardhini, Mara nyingi hutumiwa kwa kuhifadhi madhingira. {{mbegu-jio}}'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:A hole in road.jpg|thumb|Shimo barabarani]]
'''shimo''' (wingi mashimo) uwazi mviringo uliochimbwa [[ardhi]]ni, Mara nyingi hutumiwa kwa kuhifadhi madhingira.
'''Shimo''' ni uwazi au nafasi tupu katika [[Manga|gimba manga]].
 
Kuna aina nyingi za mashimo.
{{mbegu-jio}}
* shimo inaweza kutokea kama hitilafu ambako haitakiwi kuwepo, mfano shimo kwenye [[jino]], [[barabara|barabarani]], kwenye [[sufuria]]
 
* shimo inaweza kutengenezwa kwa muda mfano shimo kwenye ardhi kwa kupanda mti humo, kuunda msingi mle, kwenye mtambo au jengo kwa kusudi la kuweka hapa skrubu
 
*mashimo mengine ni lazima; mfano shimo la sauti kwenye [[ala za muziki]] kama [[gitaa]], shimo la kuingiza hewa katika boksi la kubeba [[vifaranga]]
 
*wakati mwingine neno "shimo" latumiwa kutaja kitu kisicholingana na ufafanuzi wa shimo mwenyewe, mfano "[[shimo jeusi]]" katika [[astronomia]]
 
{{maana}}