Marie Curie : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
alizaliwa
Mstari 1:
[[Picha:Marie Curie, (Nobel-Chem)portrait, 1900.pngjpg|thumb|170x170px|Marie Curie mwaka [[1911]].]]
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
'''Maria Curie''' ([[jina]] kamili: '''Maria Skłodowska-Curie''';alizaliwa tar [[7 Novemba]] alikufa tar [[1867]] – [[4 Julai]] [[1934]]) alikuwa [[mwanafizikia]] na [[mwanakemia]] Mpoland na Mfaransa aliyepata [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka 1903 na [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]] mwaka 1911.
 
Alizaliwa [[Poland]] kama Maria Skłodowska wakati nchi hiyo ilipokuwa chini ya [[Urusi]]. Wakati ule hapakuwa na nafasi kwa wanawake kusoma kwenye [[chuo kikuu]] nchini, hivyo akahamia [[Ufaransa]] mwaka [[1891]] akajiandikisha katika somo la [[fizikia]] akaendelea baadaye kuchukua [[digrii]] ya [[hisabati]].