Rada : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Ondoa picha iliyoharibika
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1:
'''Rada''' ([[ing.]] ''radar'') ni mfumojina kwa mitambo unaotumiainayotumia [[mawimbi]] ya [[redio]] kutambua vitu na vyombo mbalimbali kwa kuangalia mambo kama aina, mwelekeo, [[kasi]] n.k.
{{multiple image
| align = right
| direction = horizontal
| width1 = 170
| image1 = Radar antenna.jpg
| alt1 = A long-range radar [[antenna (electronics)|antenna]], known as ''ALTAIR'', used to detect and track space objects in conjunction with [[anti-ballistic missile|ABM]] testing at the [[Ronald Reagan Ballistic Missile Defense Test Site|Ronald Reagan Test Site]] on [[Kwajalein Atoll]].
| caption1 = Rada ya mbali sana.
| image2 = Radar-hatzerim-1-1.jpg
| width2 = 200
| alt2 = Israeli military radar is typical of the type of radar used for [[air traffic control]]. The antenna rotates at a steady rate, sweeping the local airspace with a narrow vertical fan-shaped beam, to detect aircraft at all altitudes.
| caption2 = Rada nyingine.
}}
'''Rada''' ni mfumo unaotumia [[mawimbi]] ya [[redio]] kutambua vitu na vyombo mbalimbali kwa kuangalia mambo kama aina, mwelekeo, [[kasi]] n.k.
 
Rada hutumika kuchunguza [[Ndege (uanahewa)|ndege]], [[meli]], [[roketi]], [[Gari|magari]], mawingu katika utabiri wa [[hali ya hewa]], n.k.
 
Mfumo wa rada unatumia [[transimita]] kuzalisha mawimbi ya [[umeme]] na [[sumaku]] aina ya redio na [[antena]] ya kurusha na antena ya kupokea (mara nyingi antena hiyohiyo hutumika kwa kurusha na kupokea) na chombo cha kupokea na kutafsiri kitu kinachochunguzwa.