Vita vya Kagera : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ' VITA YA KAGERA vita ya kagera ni vita iliyapiganwa nchini Tanzania.Vita hii ilikuwa ikihusu kugombania ardhi ya kagera kati ya nchi ya...' |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Vita vya Kagera''' ni [[vita]] vilivyopigwa kati ya [[Uganda]] na [[Tanzania]] miaka [[1978]]-[[1979]].
Vita hivyo vilikuwa vikihusu kugombania ardhi ya [[mkoa wa Kagera]] kati ya nchi ya Tanzania na Uganda.
Mwanzilishi wa vita hii ni Iddi Amini Dadah aliyetaka kupewa ardhi ya kagera na mwl.Nyerere tena kwa shuruti ya kivita.▼
Mwl.Nyerere aliwaongoza vema wanajeshi wakitanzania akisema"mchokozi Iddi Amini Dadah ametuchokoza uwezo wakumpiga tunao,sababu ya kumpiga tunayo,nia ya kumpiga tunayo,hivyo tumeamua kupambana naye▼
Katika vita hivyo Tanzania, ikiongozwa na [[rais]] [[Julius Nyerere]] iliibuka kidedea kwa kuwapiga vema [[jeshi|majeshi]] ya [[gaidi]] [[Idd Amini|Idd Amini Dadah]].
Vita hivyo viliua maelfu ya watu na wengine kuachwa [[yatima]].
▲
▲
{{mbegu-historia}}
[[Jamii:Vita]]
[[Jamii:Historia ya Tanzania]]
[[Jamii:Historia ya Uganda]]
|