Roho : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
malaila wabaya na wema kwenye mabano
Tengua pitio 1031380 lililoandikwa na 156.159.100.74 (Majadiliano)
Tag: Undo
Mstari 1:
'''Roho''' ni umbile la pekee lisiloonekana ambalo linasadikiwa kuwemo pamoja na [[mwili]] katika [[binadamu]] na kuunda hasa [[malaika]] (ambao kati yao wale wabaya wanaitwa ma[[shetani]]).
 
Katika [[lugha]] mbalimbali umbile hilo linafananishwa na [[upepo]] au [[pumzi]].