Mwewe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza picha
dNo edit summary
 
Mstari 23:
** ''[[Milvus]]'' <small>[[Bernard Germain Étienne de la Ville, Comte de Lacépède| Lacépède]], 1799</small>
}}
'''Mwewe''' ni [[ndege]] mbuai wa [[nusufamilia]] [[Elaninae]] na [[Milvinae]] katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Accipitridae]]. Hawana sifa bainifu pamoja isipokuwa wengi wana mkia mwenye panda. Mabawa yao ni marefu na miguu yao haina nguvu kwa sababu yake ndege hawa hupurukahuruka sana angani. Hukamata aina nyingi za mawindo, kama [[mnyama|wanyama]] wadogo, ndege na [[dudu|wadudu]] wakubwa, lakini hula [[mzoga|mizoga]] sana pia.
 
==Spishi za Afrika==