Vita vya Kagera : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 3:
Vita hivyo vilikuwa vikihusu kugombania ardhi ya [[mkoa wa Kagera]] kati ya nchi ya Tanzania na Uganda.
 
Katika vita hivyo Tanzania, ikiongozwa na [[rais]] [[Julius Nyerere]] iliibuka kidedea kwa kuwapiga vema [[jeshi|majeshi]] ya [[gaidi]] [[Idd Amini Dadah]] Dadah.
 
Vita hivyo viliua maelfu ya watu na wengine kuachwa [[yatima]].
[[Mwanzilishi]] wa vita hivyo alikuwa Iddi Amini Dadah aliyetaka kupewa ardhi ya Kagera na mwl. Nyerere ardhi ya Kagera, tena kwa shuruti ya kivita.
 
Nyerere aliwaongoza vema wanajeshi wa Tanzania akisema , "mchokozi Iddi Amini Dadah ametuchokoza; uwezo wa kumpiga tunao, sababu ya kumpiga tunayo, nia ya kumpiga tunayo, hivyo tumeamua kupambana naye".

Katika vita hiyo gaidi Iddi Amini Dadah, baada ya kushambuliwa yasemekana kuwa, alikimbilia nchini Saudia[[Saudi Arabia.Hadi]] hadi [[mauti]] yalipompata alikuwamiaka nchiniya Saudia Arabiabaadaye.
 
{{mbegu-historia}}
 
[[Jamii:Vita]]
[[Jamii:Mkoa wa Kagera]]
[[Jamii:Historia ya Tanzania]]
[[Jamii:Historia ya Uganda]]
[[Jamii:1978]]
[[Jamii:1979]]