Vita vya Kagera : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
{{History of Tanzania}}
'''Vita vya Kagera''' ni [[vita]] vilivyopigwa kati ya [[Uganda]] na [[Tanzania]] miaka [[1978]]-[[1979]].
{{History of Uganda}}
'''Vita vya Kagera''' ni [[vita]] vilivyopigwa kati ya [[Uganda]] na [[Tanzania]] miakakuanzia [[tarehe]] [[30 Oktoba]] [[1978]]- hadi [[11 Aprili]] [[1979]].
 
Vita hivyo vilikuwa vikihusuvilihusu kugombania ardhi ya [[mkoa wa Kagera]] kati ya nchi ya Tanzania na Uganda.
 
Katika vita hivyo Tanzania, ikiongozwa na [[rais]] [[Julius Nyerere]] iliibuka kidedea kwa kuwapiga vema [[jeshi|majeshi]] ya [[gaidi]] [[Idd Amini]] Dadah yaliyoungwa [[mkono]] wa [[Libya]] ya [[Muammar al-Gaddafi]] na pia [[Palestina]] ya [[Yasser Arafat]].
 
Vita hivyo viliua maelfuwatu yakaribu watu5,000 na wengine kuachwa [[yatima]].
[[Mwanzilishi]] wa vita hivyo alikuwa Iddi Amini Dadah aliyetaka kupewa na mwl. Nyerere ardhi ya Kagera, tena kwa shuruti ya kivita.
 
Nyerere aliwaongoza vema wanajeshi 100,000 wa Tanzania akisema, "mchokozi Iddi Amini Dadah ametuchokoza; uwezo wa kumpiga tunao, sababu ya kumpiga tunayo, nia ya kumpiga tunayo, hivyo tumeamua kupambana naye". Aliungwa mkono na [[Msumbiji]] na [[wanaharakati]] wa Uganda, akiwemo [[Yoweri Museveni]].
 
Katika vita hiyo Iddi Amini Dadah, baada ya kushambuliwa, alikimbilia nchini [[Saudi Arabia]] hadi [[mauti]] yalipompata miaka ya baadaye.
 
Kumbe nchini Uganda ukawa ndio mwanzo wa [[vita vya wenyewe kwa wenyewe]].
 
{{mbegu-historia}}