Vita vya Kagera : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 8:
Vita hivyo viliua watu karibu 5,000 na wengine kuachwa [[yatima]].
==Historia==
[[Mwanzilishi]] wa vita hivyo alikuwa Iddi Amini Dadah aliyetaka kupewa na mwl. Nyerere ardhi ya Kagera, tena kwa shuruti ya kivita.
 
Line 19 ⟶ 20:
Tanzania, iliyolaumiwa na [[Organization of African Unity]] kama kwamba ndiyo mvamizi, ililazimika kugharimia peke yake vita na hali ya [[usalama]] nchini Uganda baada ya [[ushindi]]. Jambo hilo lilizidi kudidimiza nchi katika [[ufukara]] na kufelisha mipango yake ya [[maendeleo]]. Tanzania ilimaliza kutoka katika hali hiyo mwaka [[2007]] tu, Uganda ilipolipa [[Deni|madeni]] yake.
 
==Marejeo==
*{{cite web|last1 = Mambo|first1 = Andrew|last2 = Julian|first2 = Schofield|date = 2007|url = http://findarticles.com/p/articles/mi_qa3719/is_200712/ai_n24394498|title = Military Diversion in the 1978 Uganda-Tanzania War|journal = Journal of Political and Military Sociology|archive-url = https://web.archive.org/web/20111108065938/http://findarticles.com/p/articles/mi_qa3719/is_200712/ai_n24394498/|archive-date = 8 November 2011|deadurl = yes|df = dmy-all}}
{{Tanzania topics}}
{{Uganda topics}}
{{mbegu-historia}}