Rachel Carson : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Rachel Louise Carson''' (Mei 27, 1907 - 14 Aprili, 1964) alikuwa Mwanasayansi wa Kibiolojia kutoka nchini Marekani.Carso...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Rachel Louise Carson''' ([[Mei 27 Mei]], [[1907]] - [[14 Aprili]], [[1964]]) alikuwa [[Mwanasayansimwanasayansi]] wa [[Biolojia|Kibiolojiakibiolojia]] kutoka nchini [[Marekani]].

Carson alianza [[kazi]] yake kama [[Mwanabiolojiamwanabiolojia]] wa [[maji]] katika [[Ofisi ya Uvuvi ya Umoja wa Mataifa]].
 
== Maisha na kazi ==
Rachel Carson alizaliwa 27 Mei 27, 1907, kwenye [[shamba]] la [[familia]] karibu na [[Springdale]], [[Pennsylvania]], juu kidogo ya [[Mto Allegheny]] kutoka [[Pittsburgh]].Carson alianza kuandika [[hadithi]] (mara nyingi huhusisha [[wanyama]] katika hadithi zake) akiwa na [[umri]] wa [[miaka]] [[nane]] na alikuwa na hadithi yake ya kwanza iliyochapishwa akiwa katika umri wa miaka [[kumi]].
'''Maisha ya mwanzoni na elimu'''
 
Rachel Carson alizaliwa Mei 27, 1907, kwenye [[shamba]] la [[familia]] karibu na Springdale, Pennsylvania, juu kidogo ya [[Mto Allegheny]] kutoka [[Pittsburgh]].Carson alianza kuandika [[hadithi]] (mara nyingi huhusisha [[wanyama]] katika hadithi zake) akiwa na [[umri]] wa [[miaka]] [[nane]] na alikuwa na hadithi yake ya kwanza iliyochapishwa akiwa katika umri wa miaka [[kumi]].
Carson alianza kuandika [[hadithi]] (mara nyingi huhusisha [[wanyama]] katika hadithi zake) akiwa na [[umri]] wa [[miaka]] [[nane]] na alikuwa na hadithi yake ya kwanza iliyochapishwa akiwa katika umri wa miaka [[kumi]].
Alifurahia sana [[St. Nicholas Magazine]] (ambayo ilisambaza hadithi za kwanza), [[kazi]] za [[Beatrix Potter]], na [[riwaya]] za [[Gene Stratton-Porter]], na katika miaka yake ya ujana, [[Herman Melville]], [[Joseph Conrad]] na [[Robert Louis Stevenson]].
 
Carson alisoma shule ya msingi ya Springdale kupitia daraja la kumi, kisha alikamilisha shule ya sekondari karibu na Parnassus, Pennsylvania, alihitimu mwaka [[1925]] na darasa lake lilikuwa na wanafunzi [[45]].
Alifurahia sana [[St. Nicholas Magazine]] (ambayo ilisambaza hadithi za kwanza), [[kazi]] za [[Beatrix Potter]], na [[riwaya]] za [[Gene Stratton-Porter]], na katika miaka yake ya [[ujana]], [[Herman Melville]], [[Joseph Conrad]] na [[Robert Louis Stevenson]].
Katika [[Chuo cha Wanawake cha Pennsylvania]] (leo kinachojulikana kama [[Chuo Kikuu cha Chatham]]). Carson alijifunza [[Kiingereza]], lakini alibadilisha na kuchukua [[biolojia]] mwezi [[Januari]] [[1928]].Alisomea elimu ya ufundi wa Kibiologia katika [[maabara]].Aliendelea na masomo yake ya zoolojia(biologia ya wanyama) katika [[Chuo kikuu cha Johns Hopkins]] mwishoni mwa mwaka [[1929]].Msimamizi wa Carson, alifurahia mafanikio ya Carson katika vipindi vya [[redio]].
 
Carson alisoma [[shule ya msingi]] ya Springdale kupitia daraja la kumi, kisha alikamilisha shule ya [[sekondari]] karibu na [[Parnassus]], Pennsylvania, alihitimu mwaka [[1925]] na [[darasa]] lake lilikuwa na wanafunzi [[45]].
 
Katika [[Chuo cha Wanawake cha Pennsylvania]] (leo kinachojulikanakinajulikana kama [[Chuo Kikuu cha Chatham]]). Carson alijifunzaalianza kusoma [[Kiingereza]], lakini alibadilisha na kuchukua [[biolojia]] mwezi [[Januari]] [[1928]]. Alisomea elimu ya ufundi wa KibiologiaKibiolojia katika [[maabara]].Aliendelea na masomo yake ya zoolojia(biologia ya wanyama) katika [[Chuo kikuu cha Johns Hopkins]] mwishoni mwa mwaka [[1929]].Msimamizi wa Carson, alifurahia mafanikio ya Carson katika vipindi vya [[redio]].
 
Aliendelea na masomo yake ya [[zuolojia]] (biolojia ya [[wanyama]]) katika [[Chuo kikuu cha Johns Hopkins]] mwishoni mwa mwaka [[1929]].
 
Msimamizi wa Carson, alifurahia mafanikio ya Carson katika vipindi vya [[redio]].
 
== Kifo ==
Carson aliugua [[ugonjwa]] wa [[saratani ya matiti]] na [[ugonjwa wa pumu]] [[Januari]] [[1964]]. Hali yake ikawa mbaya zaidi, na mwezi [[Februari]], [[madaktari]] waligundua kuwa alikuwa na [[anemia]] kali kutokana na [[matibabu]] yake ya [[mionzi]], na mwezi [[Machi]] waligundua kuwa saratani ilikuwa imefikia katika [[ini]] lake.

Carson alikufa kutokana na saratani [[Aprili 14 Aprili]], [[1964]], [[nyumba|nyumbani]] kwakemwake huko [[Silver Spring]], [[Maryland]].
 
== Viungo vya nje ==