Kigezo:Majiranukta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 41:
 
===Umbo la desimali===
Kuna pia programu za ramani zinazoonyesha anwani kwa namna ya desimali, kwa mfano Google Maps. Unabofya right-click na "What is here", unaona tarakimu za anwani. Au kwenye simu yako unaacha kidole kwa muda dirishani hadi unaona mshale mwekundu pale ulipoweka kidole. Dirisha la jujuu la simu inaonyesha tarakimu ambazo ni viwianisha vya desimali. Halafu utumie mfano hapo chini kwa anwani 29.979571,31.134668 :
 
'''<nowiki> {{Coord|29.979571|31.134668|display=title}}</nowiki>'''
 
Utabadilisha tarakimu ipasavyo. Usisahau alama ya '''-''' (kasoro) ikitokea! Hii inafanya tofauti baina ya kaskazini na kusini ya ikweta.
</noinclude>