Kisukuku : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Visikuku vya makaa na mafuta: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|ca}} (2) using AWB (10903)
masahihisho ya lugha
Mstari 4:
[[Picha:Archeopterix-img 0293.jpg|thumb|250px|[[Archeopteryx]] ni ndege wa kwanza anayejulikana kutokana na visukuku akifanana bado na [[reptilia]] lakini anaonyesha [[manyoa]] tayari]]
 
'''Kisukuku''' (ing. ''fossile'') ni mabaki ya kiumbehaiviumbehai amaau mmeamimea au mnyamawanyama kutoka zamani za miaka 10,000 au zaidi. Visukuku vingi vina umri wa miaka mamilioni.
 
Mabaki yanapatikana kwa umbo tofautitofauti., hasa kama
* visukuku vya kijiwe vinavyoweza kutupa picha ya viumbehai vya nyakati zilizopita, na
* visukuku vya makaa na mafuta ambavyo ni chanzo muhimu cha nishati
 
== Visukuku vya kijiwe ==
Mara nyingi miili ya wanyama na mimea imehifadhiwa kwa umbo la jiwe. Ni kama picha au au hata sanamu ya kiumbe kile. Mifano bora imepatikana pale ambako mmea au mwili wa mnyama ulianguka katika matope lainalaini na kuzama chini haraka. Ndani ya matope laini mwili haukuoza shauri la uhaba wa [[oksijeni]] na uhaba wa [[bakteria]]. Polepole maji ya matope yaliingia dani ya mwili na kujaza nafasi zilizojazwa awali na kiowevu cha [[seli]] wakati kiumbe kilikuwa hai. Maji ya matope yalipeleka pia minerali mbalimbali ndani ya mwili. Jinsi mwendo huu liwezauliweza uendelea polepolekuendelea bila kuzuiliwa polepole hata seli ziliweza ujazwakujazwa kwa vipande vidogo vya matope na [[minerali]] nyingine. Kama baada ya miaka mingi matope yalikauka hata matope ndani ya seli za mwili ulikauka lakini wakwa kutunza umbo la seli hizi. Kama ganda la matope liliendelea kufunikwa na tabaka za udongo wa juu shindikizo la juu lilianza kuibadilishakubadilisha lileule udongo kuwa [[jiwe]] na [[mwamba]] kabisa.
 
Kama mwili mwenyewe umeshaoza hadi kiunzi cha mifupa kilifunikwa kuna pia visukuku vya mifupa tu. Viumbe kama konokono mara nyingi viliacha visukuku vya umbo la nje pekee kwa sababu miili yao ni laini sana ilipotea haraka na ganda lao halikubali maji yenye mineral kuingia ndani yake.
 
Sehemu ambako mazingira yalifaa kwa kutokea kwa visukuku huitwa "Lagerstätte" na wataalamu (la-ger-ste-te, neno la kijerumani) na hapa mifano mingi imewahi kuchimbwa. Kutokana na mwendo wa [[gandunia]] (yaani kukunjwa kwa ganda la Dunia) sehemu hizi zinaweza kupatikana chini ya ardhi au juu mlimani.
 
Kwa njia hii ilitokea mifano kamili ya miili ya spishi zisizopatikana tena duniani. Wataalamu hulinganisha visukuku na wanyama au mimea ya leo na hap wanapata picha juu ya mabadiliko ya spishi. Nadharia ya [[mageuko ya spishi]] iliathiriwa sana na matokeo ya utafiti wa visukuku.
 
Aina ya pekee ya visukuku ni wadudu waliofungwa ndani ya utomvi wa miti uliobadilika baadaye kuwa [[kaharabu]].
 
== Visikuku vya makaa na mafuta ==
Sehemu kubwa ya mimea ya kale haikugeukiwa kuwa visikuku vya kijiwe bali mabaki yao yalibadilika wakati yalipokaa kama tabaka juu ya uso wa ardhi yalifunikwa kwa udongo na kubadilishwa kwa shindikizo na joto.
 
Makaa yote yaliyopo chini ya ardhi ni matokeo ya kazim hiichakato huu; ndani ya makaa wakati mwingine sehemu za miti bado zinaonekana lakini zimebadilishwa kuwa makaa. Hivyo asili ya makaa ni hasa misitu ya kale na miti yao.
 
Kama asili ya makaa ni hasa misitu ya kale na miti yao mafuta[[Mafuta ya petroli]] imetokana na [[algae]] na mimea mingine ya baharini. Baada ya kufa mabaki yao yalizama chini hadi mguusakafu waya bahari kabisa. Kutokana na uhaba wa oksijeni hapo chini magandamabaki manenehayakuoza yana tabaka nene za matope yalitokeazilitokea. Kama maganda haya yalifunkiwa polepole na udongo na minerali harakatinyingine yakulitokea mchakato wa mabadiliko kutokana na shindikizo na hotojoto. ilianzaMchakato kutokea nahuu kubadilishaulibadilisha matope ya mimea kuwa mafuta ya petrolpetroli. iliyowezaHapa kubadilikailitokea zaidipia kuwagesi. gandaPale laambako gesi hii ilifungwa chini ya takaba ya miamba isiyopitika tunakuta siku hizi akiba za [[gesi asilia]] zinazofikiwa kwa kutoboa miamba na kupeleka gesi kwa mabomba pale inapotumiwa.
 
==Tazama pia==
*[[Fueli za kisikuku]]
 
{{mbegu-sayansi}}