Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
{{karibu}}'''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 16:10, 13 Mei 2017 (UTC)
 
Ndugu, inaonekana hujui kutumia herubiherufi kubwa kwa wakati wake, unapenda kuziweka kila kona. Tafadhali, usitupotezee muda kurejesha kurasa nyingi katika hali ya awali. Toa mchango mwingine ambao utafaa. Asante. Amani kwako! --'''[[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Riccardo Riccioni]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni|majadiliano]])''' 11:52, 20 Agosti 2017 (UTC)
 
:Narudia kusisitiza usichezecheze na herufi kubwa na ndogo, lakini pia usibandike kurasa kutoka Wiki ya Kiingereza bila kuzitafsiri. Asante na amani kwako tena! --'''[[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Riccardo Riccioni]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni|majadiliano]])''' 08:26, 19 Mei 2018 (UTC)