Wanyakyusa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Wanyakyusa''' (pia huitwa ''Wangonde'' au ''Wasochile'') ni [[kabila]] la [[watu]] wanaoishi kwenye [[wilaya ya Rungwe]] katika sehemu za [[kusini]] za [[Mkoa wa Mbeya]] ([[Tanzania]]), [[kaskazini]] kwa [[Ziwa Nyasa]].

[[Lugha]] yao, inayoendelea kutumika sana, ni [[Kinyakyusa]].

Mara nyingi [[Wagonde]] upande wa kusini wa [[mto Songwe]] nchini [[Malawi]] huhesabiwa pamoja nao katika [[kundi]] lilelile.

Mwaka [[1993]] watu zaidi ya [[milioni]] walikuwa wanajumlishwa kwa [[jina]] hili, takriban 750,000 upande wa Tanzania na 300,000 upande wa Malawi.
[[Picha:Dancing to Mang'oma dance in Kyela Mbeya.jpg|300px|thumb|Mang'oma ni ng'oma[[ngoma]] maarufu ya [[utamaduni]] wa Wanyakyusa.]]
==Historia==
[[Historia|Kihistoria]] watu wanaoitwa leo Wanyakyusa waliitwa [[Wakonde]], ambao kati yao Wanyakyusa walikuwa ndio kabila kubwa. Wakati wa [[karne ya 20]] "Wanyakyusa" limekuwa jina la kundi kwa jumla.

Hadi leo [[kanisa]] la [[Walutheri|Kilutheri]] la [[KKKT]] linatumia jina "[[dayosisi]] ya Konde" kwa eneo lake katika mkoa wa Mbeya.

Wakati [[Wajerumani]] walipofika sehemu za kaskazini kwa Ziwa Nyasa mwisho wa [[karne ya 19]] hawakuona tofauti ya kimsingimsingi kati ya watu wa Malawi kaskazini na wale wa sehemu za [[Rungwe]] wakawaita wote "Wakonde" kutokana na jina lililokuwa kawaida [[Ziwa|ziwani]].

==Mgawanyiko wa Wanyakyusa==
Wanyakyusa toka zamani walijulikana kama watu wa Konde. Wengi walikuwa kaskazini kwa ziwa Nyasa, lakini katika [[harakati]] za [[maisha]] na mabadiliko ya [[mazingira]] wengi wao wakakimbilia [[Mbeya]] [[Mji|mjini]] na sehemu nyingine.

Pamoja na hayo, hasa Wanyakyusa wapo wa aina [[mbili]] nao ni: Wanyakyusa wa [[Tukuyu]] na Wanyakyusa wa [[Kyela]].

===Sifa za Wanyakyusa wa Kyela===
1. Wengi si wapole mtu afanyapo kosa

2. WachaWanamcha [[Mungu]]

3. Wanajua kupenda

4. Hawapendi [[dharau]]

5. Wanapenda kujulikana (hasa kama wamesoma hadi kupata [[digrii]] n.k.)

6. WapiganajiNi wapiganaji sana kimaisha

7. Wana [[wivu]] katika masuala ya [[mapenzi]]

8. Wanapenda [[haki]] itendeke, hawapendi [[ubabaishaji]]

9. Ni watu shupavu sana kwenye kazi za kujitolea, hasa za kijamii

===Sifa za Wanyakyusa wa Tukuyu===
1. WapoleNi wapole

2. WachaWanamcha Mungu

3. Wanajua kupenda

4. Hawapendi dharau kabisa

Mstari 45:
* Bauer, Andreus. (''Raising the Flag of War'')
* Charsley, S.R. (''The Princes of Nyakyusa'')

* Ileffe, John. (''A Modern History of Tanganyika'')
* Merensky, A. (''Deutsche Arbeit am Nyaßa'')