Fidla : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+picha
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Violin VL100.png|thumbnail|250px|Fidla ya kisasa.]]
[[Picha:Best touches of music.jpg|250px|thumb|Mpiga fidla wa [[Tanzania]].]]
'''Fidla''' (kutoka [[ing.Kiingereza]] ''fiddle'',; pia: '''violini''', kutoka [[jina]] la [[Kiitalia]] ''violino'') ni [[ala]] ya [[muziki]] yenye [[nyuzi]]. [[Idadi]] ya nyuzi ni 4 zinazopigwa kwa [[uta]]. Nyuzi zinawekwa kwa kawaida kwa [[noti]] za G, D, A, andna E.[2].
 
==Muundo wa fidla na matumizi yake==
Fidla hufanywa kwa [[mwili]] wa [[mwangwi]] na [[shingo]]. [[Waya|Nyaya]] hufungwa juu kwenye shingo na hapo zinaweza kukazwa kwa [[hesi]]. Upande wa juu wa mwili kuna [[Shimo|mashimo]] mawili yenye [[umbo]] la S nyembamba.
 
Fidla inashikwa na [[mchezaji]] baina ya [[bega]] na [[kidevu]].
 
Kwa kawaida [[mkono]] wa kuume hushika uta na kuiteleza kwenye waya na hivyo kutoasautikutoa [[sauti]]. Uta ni kama [[upinde]] na kuna [[riboni]] kati ya [[ncha]] za upinde. Riboni hufanywa kwa [[nywele]] za [[farasi]].
 
[[Vidole]] vya mkono mwingine husogeza juu ya nyaya na kubadilisha sauti kwa kukaza waya mahali mbalimbali.
[[Picha:MHVC-KyokoYonemoto-PaganiniCaprice24.ogv|300px|thumbnail|Kyoko Yonemoto anapiga Paganini.]]
==Historia ya fidla==
Fidla zilibuniwa katika [[Ulaya ya Kusini]] takriban miaka 1000[[elfu]] iliyopita kama nakala ndogo za ala za nyaya kubwa zaidi. Fidla kwa umbo la kisasa zimepatikana tangu karne ya 16 na mwanzoni zilikuwa na nyaya 3 pekee lakini tangu mnamo mwaka 1600 zilikuwa kimsingi sawa na ala za leo. Maendeleo haya yalitokea katika Italia ya kaskazini. Baadaye mabadiliko madogo yaliendelea kufanywa.
Mafundi mashuhuri waliotengeneza fidla walikuwa pamoja na familia za Stradivari, Guarneri na Amati katika Italia za karne za 16 hadi 18 huko [[Brescia]] na [[Cremona]] na akina [[Jakob Stainer]] huko [[Austria]]. Ala zilizojengwa nao zinatafutwa hadi leo na kutumiwa kwa muziki ya kihistoria.
 
Fidla kwa umbo la kisasa zimepatikana tangu [[karne ya 16]] na mwanzoni zilikuwa na nyaya 3 pekee, lakini tangu mnamo [[mwaka]] [[1600]] zilikuwa karibu sawa na ala za leo. [[Maendeleo]] hayo yalitokea katika [[Italia kaskazini]]. Baadaye mabadiliko madogo yaliendelea kufanywa.
Watungaji muziki wote mashuhuri wa Ulaya walitunga muziki kwa ajili ya fidla, ama katika [[okestra]] au pia kama ala ya pekee.
[[fundi|Mafundi]] mashuhuri waliotengeneza fidla walikuwa pamoja na [[familia]] za Stradivari, Guarneri na Amati katika Italia za karne za 16 hadi [[Karne ya 18|18]] huko [[Brescia]] na [[Cremona]] na akina [[Jakob Stainer]] huko [[Austria]]. Ala zilizojengwazilizotengenezwa nao zinatafutwa hadi leo na kutumiwa kwa muziki yawa kihistoria.
 
WatungajiWatunzi muziki wote mashuhuri wa [[Ulaya]] walitunga muziki kwa ajili ya fidla, ama katika [[okestra]] au piaama kama ala ya pekee.
Kadri jinsi fidla ilipendwa na idadi ya wapiga fidla iliongezeka pamoja na mahitaji ya idadi kubwa ya ala. Kwa hiyo fidla za bei nafuu zilitengenezwa katika viwanda vidogo. Mwaka 1888 kiwanda cha kwanza cha fidla kilianzishwa nchini Japani.
 
Kadri jinsiKadiri fidla ilipendwa nailivyopendwa, idadi ya wapiga fidla iliongezeka pamoja na mahitaji ya idadi kubwa ya ala. Kwa hiyo fidla za [[bei]] nafuu zilitengenezwa katika [[viwanda]] vidogo. Mwaka [[1888]] kiwanda cha kwanza cha fidla kilianzishwa nchini Japani.
 
==Marejeo==
Line 58 ⟶ 59:
|ref=harv
}}
 
 
== Kujisomea ==
Mstari 65:
* Young, Diana. [http://www.media.mit.edu/~young/publications/Young_Dissertation_2007.pdf ''A Methodology for Investigation of Bowed String Performance Through Measurement of Violin Bowing Technique'']. PhD Thesis. M.I.T., 2007.
 
== Viungo vya Njenje ==
{{Commons|Violin}}
* [http://www.corilon.com/shop/en/info/violins.html The violin: How to select a violin, its provenance and value]
* {{Cite EB1911|wstitle=Violin|first=Robert William Frederick |last=Harrison|short=x}}
* {{Cite NSRW|wstitle=Violin|short=x}}
 
 
[[Jamii:Ala za muziki]]