Willian : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'border|right|frameless|295x295px '''Willian Borges da Silva''' (alizaliwa tarehe 9 Agosti 1988), kwa kawaida anajulikana kama...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Willian 2015.jpg|border|right|frameless|295x295px]]
'''Willian Borges da Silva''' (kwa kawaida anajulikana kama '''Willian'''; alizaliwa tarehe [[9 Agosti]] [[1988]]), kwa kawaida anajulikana kama '''Willian''', ni [[mchezaji]] wa [[soka]] wa [[Brazil]] ambaye anacheza kama [[kiungo mshambuliaji]] katika [[klabu]] ya [[Chelsea]] na [[timu ya taifa ya Brazil]].

Willian alianza kucheza katika [[timu]] ya [[Brazil]] mwaka [[2011]] na aliliwakilisha [[taifa]] lake katika [[Kombe la Dunia la FIFA]] ya [[2014]], [[Copa America]] ya [[2015]] na [[Copa America Centenario]].
 
==== Anzhi Makhachkala ====
Mnamo tarehe [[31 Januari]] [[2013]], Willian alihamia [[Anzhi Makhachkala]]. Awali alichagua kuvaa namba [[10]], hata hivyo kutokana na vikwazo vya [[UEFA]] ambavyo inasema mchezaji lazima avae nambari inayotumiwa katika Ligi ya Mabingwa, alilazimika kuvaa namba [[88]] aliyoichagua akiwa Shakhtar.
 
Baada ya kuhamia [[Urusi]], Willian alisema alifurahi kujiunga na Anzhi na aliitakia Shakhtar Donetsk mafanikio makubwa katika siku zijazo. Kwa mara ya kwanza, Willian alishambulia [[Newcastle United]] katika [[Ligi ya Europa]].Pia alifunga bao lake la Anzhi pekee mnamo [[14 Aprili]] [[2013]] katika ushindi wa 3-0 dhidi ya [[Volga Nizhny Novgorod]].
Line 12 ⟶ 14:
 
Willian alianza kucheza rasmi katika [[klabu]] ya Chelsea mnamo tarehe [[18 Septemba]] dhidi ya [[Basel]] katika Ligi ya Mabingwa. Baada ya kushinda dhidi ya [[Swindon Town]] na [[Steaua Bucureşti]] katika Kombe la Ligi ya Mabingwa,Chelsea ilicheza mechi dhidi ya [[Norwich City]] mnamo terehe [[6 Oktoba]] na kushinda 3-1.Pia aliisaidia Chelsea kushinda 2-0 dhidi ya [[Liverpool]].
{{Mbegu-mtucheza-mpira}}
{{BD|1988|}}
[[Jamii:Wachezaji mpira wa Brazil]]