Majina ya kisayansi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
Utaratibu wa [[uainishaji]] wa [[wanyama]] na [[mimea]] ulioanzishwa na [[Carl Linnaeus]] unaendelea kufuatwa hadi leo, hivyo kila mmea au mnyama unapewa jina la kisayansi yenye sehemu mbili: sehemu ya kwanza inataja [[jenasi]] na sehemu ya pili [[spishi]]. Kwa kawaida linafuatwa na [[herufi]] ya kwanza ya jina la [[mtaalamu]] aliyewahi kueleza spishi hiyo katika maandiko ya [[sayansi|kisayansi]].
 
Hadi leo aina za mimea au wanyama zilizoainishwa na Linnaeus zinatajwa kwa herufi "L." baada ya jina la kisayansi. Kwa mfano, [[mpunga]] ni mmea wa jenasi inayotajwa kwa jina la kisayansi kama Oryza (L.) na "L." katika [[mabano]] inaonyesha kwamba jenasi hii ilielezwa mara ya kwanza na Linnaeus. Jina la kisayansi ya [[simba]] ni Panthera leo L. kwa sababu pia mnyama huyu aliwekwa na Linnaeus katika utaratibu wa [[uainishaji wa kisayansi]].
 
==Majina ya astronomia==