Ubuyu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Removing Ubuyu.jpg, it has been deleted from Commons by Christian Ferrer because: Copyright violation, see c:Commons:Licensing -.
Mstari 1:
{{vyanzo}}
 
[[Picha:Ubuyu.jpg|thumb|ubuyu]]
'''Ubuyu''' ni [[ungaunga]] wa [[rangi]] ya [[maziwa]] wa [[matunda]] ya [[mbuyu]] ukiwa na [[mbegu]] zake au bila mbegu.kwa muda wa miaka kadhaa sasa Ubuyu umekuwa ni moja ya mmea wenye faida nyingi katika mwaili wa binadamu, pia hata unga wake unatajwa kuwa ni moja ya chanzo kikubwa kinachosaidia mwili wa binadamu usipatwe na maradhi.Unga wa ubuyu unaelezwa kuwa na vitamini na madini mengi kuliko matunda mengine yoyote .