Madawa ya kulevya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 10:
 
Mara chache yanaweza kusaidia [[wagonjwa]] kwa kuwafanya wasisikie maumivu makali mno.
 
== Ulevi wa madawa ya kulevya ==
Utumizi wa madawa ya kulevya hufanya mtumizi alewe na ajisikie huru au kuwa upeo mwingine kuliko wa kawaida. Katika lugha za kimsimu huitwa kuwa ‘high’ au ‘stoned’. Hali hii humfanya mtu awe mtovu wa nidhamu au hata kufanya mambo ambaye hata yeye mwenyewe atashtuka baadaye akiwa hajatumia madawa.
 
Pia utumizi huu huadhiri mtu kiafya. Kwa mfano ukitumia bangi, utapata kwamba moyo wako wadunda kwa haraka kuliko kawaida, kinywa chako chakauka, macho kuwa mekundu, kusahau kwa haraka na kupata uchu mkubwa wa kukila chakula. Uvutaji wa bangi pia huadhiri mapafu, ini na ubongo kufikia hata kuwa wazimu.
 
Wanawake wajawazito wanapovuta au kutumia bangi huenda wakaavya mimba bila kukusudia, mtoto kuwa hajakomaa vizuri hata wakati wa kuzaliwa.
 
== Udhibiti wa madawa ya kulevya ==
Serikali za nchi nyingi zimedhibiti au hata kupiga marufuku utumiaji wa madawa ya kulevya. Mwakani 1960, kulikuwa na udhibiti wa upanzi wa bangi wa kimataifa.
 
Nchi zingine zaruhusu upanzi na utumizi wa madawa haya kwa minajili ya matibabu. Kwa mfano bangi inatumika katika kupunguza maumivu ya wagonjwa wa saratani na kuwapa uchu wa chakula wanaokisusua. Heroini ambayo inatokana na dawa ya mophini hutumika katika kupunguza maumivu kwa wagonjwa saratani pia.
 
== Matibabu baada ya uraibu wa madawa ya kulevya ==
Walioathirika na utumizi wa madawa ya kulevya huweza kunasuliwa kutoka uraibu ule katika rehabilitation centres. Huku, wao huonyeshwa jinsi ya kuishi bila kutumia madawa. Kitendo kile cha kumfanya mraibu wa madawa kuacha huitwa [http://www.rehabsouthflorida.com/ detox] maana Wanapewa dawa nyingine zinazowasaidia waache uchu wa madawa ya kulevya.
 
== Viungo vya Nje ==
* [http://www.who.int/substance_abuse/publications/en/Neuroscience_E.pdf Kuhusu madawa ya kulevya kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO)]
* [https://www.wikihow.com/Beat-Drug-Addiction Jinsi ya kuacha kutumia madawa ya kulevya]
* [http://www.rehabsouthflorida.com/ Rehabsouthflorida.com/]