Mpira wa miguu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya 142.227.239.229 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Tag: Rollback
Mstari 63:
[[Shirikisho la Soka Duniana]] ([[FIFA]]) ndilo shirikisho kuu linalosimamia kandanda duniani. Wanachama wake ni mashirikisho ya kandanda ya nchi mbalimbali. Kufikia mwaka wa 2000, lilikuwa na wanachama 204 kutoka pembe zote za dunia. Shirikisho hili huandaa mashindano mbalimbali ya soka kama vile [[Kombe la Dunia]] na pia huwatunuku wachezaji.
 
== Orodha ya Wachezaji Maarufu Duniani ==
Orodha ifuatayo inaonyesha baadhi ya wanasoka maarufu duniani, lakini haiashirii usanjari huu kulingana na ubora. Wapo wengine wengi ambao hawajatajwa hapa.<ref>Orodha ya Wachezaji Maarufu wa Soka, www.soccer-fans-info.com [http://www.soccer-fans-info.com/famous-soccer-players.html]</ref>
 
* [[David Beckham]] wa [[Uingereza]]
* [[Franz Beckenbauer]] wa [[Ujerumani]]
* [[Gabriel Batistuta]] wa [[Arjentina]]
* [[Michael Ballack]] wa [[Ujerumani]]
* [[Pablo Aimar]]
* [[Carlos Tevez]]
* [[Lionel Messi]] wa [[Arjentina]]
* [[Adriano]]
* [[Dennis Bergkamp]]
* [[Jared Borgetti]] wa [[Mexico]]
* [[Fabio Cannavaro]] wa [[Italia]]
* [[Roberto Carlos]]
* [[Ronaldinho]]
* [[Deco]]
* [[Hernan Crespo]]
* [[Didier Drogba]]
* [[Michael Essien]] wa [[Ghana]]
* [[Samuel Eto]] wa [[Cameroon]]
* [[Luis Figo]]
* [[Steven Gerald]]
* [[Thierry Henry]] wa [[Ufaransa]]
* [[Oliver Kahn]], Kipa wa [[Ujerumani]]
* [[Ricardo Kaka]]
* [[Roy Keane]]
* [[Jurgen Klinsmann]]
* [[Miroslav Klose]]
* [[Frank Lampard]]
* [[Diego Maradona]] wa [[Arjentina]]
* [[Michael Owen]]
* [[Alessandro Nesta]]
* [[Pele]] wa [[Brazil]]
* [[Robert Pires]]
* [[Rivaldo]]
* [[Robinho]]
* [[Romario]]
* [[Ronaldo]] wa [[Brazil]]
* [[Cristiano Ronaldo]] wa [[Ureno]]
* [[Wayne Rooney]]
* [[Ruud Van Nistelrooy]]
* [[Patrick Viera]]
* [[Zinedine Zidane]] wa [[Ufaransa]]
==Mpira wa miguu barani Afrika==
Mchezo ulipelekwa Afrika na Waingereza wakati wa ukoloni. Mechi za kwanza zilizorekodiwa mwaka 1862 huko [[Cape Town]] na [[Port Elizabeth]]<ref>[http://www.nytimes.com/2010/06/10/sports/soccer/10iht-SRHISTORY.html C. Clarey, Soccer Returns to Its Roots in Africa] New York Times 9-06-2010, iliangaliwa 6-12-2016</ref>.