Tofauti kati ya marekesbisho "Kimondo cha Mbozi"

chanzo
(chanzo)
Kipo kati ya vimondo vizito 10 vinavyojulikana duniani. Kina urefu wa mita 3.3, upana wa mita 1.63 na kimo cha mita 1.22.
 
Kina maumbile maalum tofauti na vimondo vingine vinavyopatikana ulimwenguni kwa kuwa hiki ni hasa cha chuma. [[Chuma]] ni 90.45%, [[nikeli]] 8,69%, [[sulfuri]] 0,01% na [[fosfori]] 0,11% ya masi yake. Ndani yake vipande vidogo vya [[silikati]] vinapatikana.<ref>[https://onlinelibrary.wiley.com/doi/abs/10.1111/j.1945-5100.1996.tb02036.x<nowiki> Edward J. OLSEN, Robert N. CLAYTON, Toshiko K. MAYEDA, Andrew M. DAVIS, Roy S. CLARKE Jr., John T. WASSON; Mbosi: An anomalous iron with unique silicate inclusions], jarida la </nowiki>'''''Meteoritics & Planetary Science, Volume31, Issue5''''', '''''September 1996'''''</ref>
 
==Viungo vya Nje==