Kasoko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
 
* [[kasoko ya mlipuko]], kwa mfano wa bomu iliyolipuka ndani ya ardhi au juu ya uso wa ardhi
* [[kasoko ya dharuba]] (mgongano) kutokana na kugongwa kwa uso la gimba na gimba nyingine, kwa mfano [[meteoridi]] au [[asteroidi]]
* [[Kasoko ya volkeno]]: shimo ambako [[zaha (lava)]] inatoka nje
 
Kasoko kubwa zaidi duniani zilisababishwa na meteoridi[[asteroidi]] zilizogonga duniaDunia yetu. Kasoko kubwa iliyojulikana hadi 2006 ilikuwa kasoko ya [[Vredefort]] nchini ([[Afrika Kusini]]) yenye umbo la yai ya urefu wa 320 km na upana wa 180 km.
 
Mwaka 2006 wataalamu waligundua kasoko kubwa zaidi yenye kipenyo cha 500 km huko [[Antarktika]] katika picha zilizopigwa angani. Iko chini ya barafu ya Antarktika katika eneo la Wilkes Land inatajwa kwa kifupi cha WLIC (kiing.: Wilkes Land impact crater). Kasoko ya WLIC inaaminiwa imesababishwa na [[kimondoasteroidi]] chenyeyenye kipenyo cha takriban 5 km.
 
<gallery>
Image:Tycho_crater_on_the_Moon.jpg|Kasoko ya [[Tycho Brahe|Tycho]] mwezini kutokana na mgonganodharuba waya kimondo
Image:Barringer Meteor Crater, Arizona.jpg|Kasoko huko [[Arizona]] ([[Marekani]]) kutokana na mgongano wa [[kimondo]]
Image:NTS test preparation2.jpg|Kasoko kutokana na milipuko ya bomu za kinyuklia chini ya ardhi kwenye eneo la jaribio la Marekani huko [[Nevada]]
</gallery>