Miereka : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Davangere Wrestlers.jpg|thumb|279x279px|wapiɡanaji wa miereka wakijaribu kuanɡushana chini]]
'''Miereka''' ni [[mchezo]] wa kupambana unaohusisha [[mbinu]] mbalimbali. Ili ushinde mapambano hayo ni lazima umwanɡushe au umdondoshe mwenzako unayepambana naye chini. [[Mchezo]] huu pia unaweza kuleta [[furaha]] kubwa kwa watazamaji wanaoupenda.