Odisei : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 10:
Baada ya matatizo mengi Odiseo anarudi nyumbani kwako akijionyesha kuwa mwaombaomba asiyetambuliwa na wenyeji. Amakutana na mwanawe Telemachos anakitambulisha kwake. Kwa pamoja wanaamua kuwafukuza na kuwauua wanaume wote waliofika kumwoa Penelope na kuwa mfalme wa Ithaka. Odiseo anajitokeza kama mgombea na kuwashinda wote. Hatimaye anamwambia Penelope yeye niye mumewe akisitasita anamwambia siri ya kitanda chao alichowahi kutengeneza mwenyewe.
 
Mwishoni wenyeji wa Ithaka wanakubali kwa msaada wa [[Athena|mungu Athena]] wenyejiya wa Ithaka wanakubalikwamba mfalme wao amerudi na amani inarudishwa kisiwani.
 
[[Jamii:Ugiriki ya Kale]]