Tabianchi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 93:
 
* '''Tabianchi ya barafu''' inapatika [[Antaktiki]], [[Greenland]] ya Kati na kwenye eneo la barafu ya kudumu juu ya bahari ya [[Aktiki]]. Miezi yote huwa na halijoto wastani chini ya 0 °C.
 
==Mabadiliko ya tabianchi==
Mabadiliko ya tabianchi hutokea kieneo au hata duniani kote baada ya muda fulani. Mabadiliko haya yanatazamiwa moja kwa moja kutokana na vipimo vya angahewa kwa miongo ya miaka au kwa kufanyia utafiti viini vya mashimo yaliyotobolewa kwenye ardhi au barafu ya aktiki.
 
Mabadiliko haya yanaweza kusababishwa na mabadiliko ya kiasi cha [[nuru ya Jua]] kinachofika duniani pamoja na mabadiliko katika angahewa ya Dunia. Mabadiliko ya tabianchi yaliyojadiliwa sana tangu mwisho wa karne ya 20 yanahusu kuongezeka kwa [[gesi joto]] kutokana na shughuli za kibinadamu hasa kuchomwa kwa [[fueli kisukuku]].
 
== Marejeo ==