Theluji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Removing Link FA template (handled by wikidata)
No edit summary
Mstari 3:
[[Picha:Schnee_und_Pflanzen.jpg|Mimea inayotokea wakati wa theluji kuyeyuka|thumb]]
 
'''Theluji''' (kutoka [[kar.]] '''ثلج''' ''thalj'') ni aina ya pekee ya [[barafu]] ya maji. Inapatikana kama [[usimbishaji]] unaotelemka kwa maumbile ya barafu ya fuwelia. [[Fuwele]] za theluji ni ndogo; muundo wa fuwele inaonekana kwa macho matupu kama fuwele ni kubwa. Vipande vyake ni vyembamba sana hivyo theluji hutelemka nyepesi si kama vipande vizito vya [[mua mawe]].
 
Theluji haipatikana kwa halijoto juu ya 0 [[C°]]. Katika Afrika inaweza kutokea tu kwenye milima mirefu kama [[Kilimanjaro]] na