NASA : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Removing Link FA template (handled by wikidata) - The interwiki article is not featured
No edit summary
Mstari 7:
Mradi wa kwanza wa NASA ulikuwa [[Mradi wa Mercury]] uliotakiwa kuonyesha ya kwamba wanaanga wanaweza kukaa angani kwa muda fulani. Alan B. Shepard Jr. alikuwa Mmarekani wa kwanza angani kwa muda wa dakika 15; John Glenn alikuwa Mmarekani wa kwanza wa kuzunguka dunia tarehe [[20 Februari]] [[1962]] kwa chombo cha angani "Friendship 7".
 
Mradi huo ulifuatwa na [[Mradi wa Gemini]] kuanzia mwaka 1965 ulionyesha ya kwamba watu wanaweza kukaa angani kwa muda wa siku kadhaa hata kutekeleza shughuli fulani. Gemini iliandaa [[Mradi wa Apollo]] uliopeleka watu wa kwanza [[mwezi]]. Chombo cha angani "[[Apollo 11]]" kilifikisha wanaanga [[Neil Armstrong]] na [[Buzz Aldrin]] kwenye uso wa mwezi tarehe [[20 Julai]] [[1969]] na kuwarudisha dunia tena.
 
Kutoka mwanzo ule kuna miradi mingi iliyofuata.