Mvutano : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
nyongeza kidogo
"uzito na masi" si mahali pake hapa, iingie chini ya masi na uzito, tena ilihitaji masahihisho ili ieleweke
Mstari 12:
[[Isaac Newton]] anajulikana kama [[mtaalamu]] aliyeweza kueleza graviti mara ya kwanza kama utaratibu wa msingi wa sayansi.
 
Ukiongelea kani ya mvutano unaongelea vitu vifuatavyo:
# Katika [[maisha]] ya kila siku: Nguvu ambayo hufanya vitu vianguke.
# [[Sheria za Newton]]: Jinsi gani kani ya mvutano inaweka [[mfumo wa jua]] pamoja.
# [[Nadharia yauhusiano]] ya [[Albert Einstein]]: Kazi ya kani ya mvutano katika ulimwengu.
 
Baadhi ya [[wanafizikia]] wanaamini kwamba kani ya mvutano inasababishwa na [[gravitons]].
 
== Kani ya mvutano katika maisha ya kila siku ==
===[[Uzito]] na [[Masi]]===
Katika maisha yetu ya kila [[siku]] tunasema kwamba vitu vinaanguka katika [[uso wa dunia]] kwa sababu ya kani ya mvutano. Tunasema kwamba uzito hubadilika pale tu kani ya mvutano inapo badilika. Mwezi ni mdogo na kani ya mvutano ya mvutano ni mara 1/6 ya ile ya duniani. Lakini kitu ambacho hakibadiliki katika ujazo wa [[maada]] ni masi. [[Dunia|Duniani]] masi na uzito ni sawa kwa sababu mbalimbali japokuwa [[Gravimita]] (kwa [[Kiingereza]]: Gravimetre), [[kifaa]] cha kupimia kani ya mvutano) kinaweza [[Hisia|kuhisi]] tofauti iliyopo,Tofauti yao inawaza kuwa kubwa katika [[Mwili|miili]] mingine ya angani kama vile [[mwezi]].Hivyo basi tunaweza kusema:
# Uzito wa kitu unategemea na sehemu. Masi ni maalumu.
# Mvutano wa kani unategemeana na masi ya kitu. Dunia inavuta kwa nguvu zaidi kuliko mwezi. Pia [[Binadamu|watu]] huhisi kani hii ya mvutano lakini kidogo sana.
 
{{mbegu-fizikia}}