Galaksi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
Kuna galaksi nyingi sana [[ulimwengu]]ni. Kwa [[wastani]] kila galaksi imekadiriwa kuwa na nyota kama [[bilioni]] 100 lakini kuna galaksi kubwa na ndogo.
 
Galaksi yetu, ikiwemo [[mfumo wa jua|mfumo wetu wa jua]], imekadiriwa kuwa na nyota zaidi ya 300,000,000,000. Sehemu ya nyota hizi zinaonekana kama [[kanda]] la kung'aa kwenye [[anga]] la [[usiku]] linalojulikana kwa [[rangi]] yake kama [[njia nyeupe]] au "njia ya [[maziwa]]"<ref>Maziwa ([[kiowevu]]mfano hichomaziwa ya ng'ombe) kwa [[Kigiriki]] kinaitwahuitwa "galaks") na hapo aili ya jina "galaksi".</ref>. Umbo lake unafanana na kisahani kikiwa na [[kipenyo]] cha [[mwaka wa nuru|miaka ya nuru]] 100,000 na kikiwa na [[unene]] wa miaka ya nuru 3,000.
 
Galaksi iliyo karibu angani inaitwa [[Andromeda (galaksi)|Andromeda]] na ina umbali wa miaka ya nuru milioni 2.5.
Mstari 14:
 
Galaksi kati yao hujumuika pia zikiathiriana kwa njia ya [[graviti]] yao na kuzunguka kitovu cha graviti cha pamoja. Galaksi hadi 50 zinazoshikamana katika [[kipenyo]] cha [[miaka ya nuru]] milioni 10 huitwa [[kundi la galaksi]] (ing. ''galaxy group''). Kuna pia galaksi mamia hadi maelfu kadhaa zinazoshikamana na hii huitwa [[fundo la galaksi]] (ing. ''galaxy cluster'') linaweze kuwa na kipenyo ch miaka ya nuru milioni 10 - 20.
 
==Marejeo==
<references/>
 
[[Jamii:Astronomia]]